Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM SACCOS LTD) anawatangazia Wanachama wote kuwa, tarehe 14, Oktoba 2025 kutakuwa na Mkutano Mkuu wa 13 utakaofanyika katika ukumbi wa mikutano CHIMWAGA Kuanzia saa 02:00 Asubuhi.