Amana ni fedha ambayo mwanachama anaweka chamani na Fedha hizi huwekezwa na mwanachama kwa kipindi maalumu kwa lengo la kupata faida pia anaweza kuichukua wakati wowote anapoihitaji kwa mujibu wa sera; Fedha hizi zikikaa miezi 6 mwanachama atapewa faida ya 3% ya pesa alizowekeza. Zikikaa miezi 12 atalipwa 6% ya uwekezaji wake. Kima cha chini cha uwekezaji ni Tsh 1,000,000/=
i. Kunafaida ya 6% kila mwaka