Banner Image

UDOM SACCOS LTD

Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo

KOPA
WEKEZA
BORESHA MAISHA
  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    Historia ya Chama Dira, Amali/Maadili, Malengo na Dhima Muundo wa Tasisi Maswali
  • Uanachama
    Mwanachama wa UDOM SACCOS Haki za Mwanachama Wajibu wa Mwanachama Jinsi ya Kujiunga/Kujisajili kuwa Mwanachama
  • Huduma na bidhaa
    HISA AKIBA AMANA MIKOPO
  • Machapisho
    Mafunzo kwa Wanachama Ripoti Majarida na Vipeperushi Miongozo na Sera Sheria na Kanuni
  • Habari na matangazo
    Habari na Matukio Maktaba ya Picha Maktaba ya Video
  • Wasiliana nasi Mawasiliano
  • Staff Email Staff
  • Jihudumie

Dira

Dira ya chama chetu ni kutoa huduma za kifedha kwa hali ya ubora na toshelezi kwa wanachama wake kwa riba nafuu ili kuwa SACCOS bora inayoongoza nchini Tanzania.

Amali/Maadili

Kujali Wanachama wetu, Ubunifu na uvumbuzi katika kutoa huduma, Uadilifu na uaminifu katika kutoa huduma, Utaalam, Ushirikiano na umoja, Pamoja na Utawala bora.

Malengo

Malengo yetu ni; Huduma bora na kumjali Mwanachama, Ubunifu na Weledi, Ushirikiano na Utawala bora, Udhibiti wa majanga.

Dhima

Mwelekeo ukiwa ni kufuatilia na kutumia fursa zilizopo kwa kujenga mtaji wa ndani kwa kutoa huduma bora kwa gharama nafuu.

© UDOM SACCOS LTD . Haki zote zimezingatiwa.

UDOM | BOT | COASCO | SCCULT | MoCU | TFC | TCDC | MOF
Juu