Jaza vipengele vyote kuendelea
Kuanzia leo tarehe ,Ninatoa idhini kwa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Kupitia Idara ya Fedha) ufanye makato kwenye Mshahara wangu kwa mchanganuo uliopo hapa chini
Makato hayo yatawasilishwa kwenye Akaunti za Chama;-
KIINGILIO: (Hakitarudishwa kwa mwanachama baada ya kujitoa) Kwa mwezi .mwaka , utakata Tshs Laki moja tu (Tshs. 100,000=) kwa kukamilisha gharama za kiingilio mara moja .
HISA: (Hazitumiki kukopea) Kwa mwezi .mwaka . , utakata Tshs kila mwezi kukamilisha mafungu sitini (60) ya HISA yenye thamani ya Tshs. 10,000/= kila Hisa Moja.
AKIBA: (Fedha anayoweka mwanachama kwa ajili ya kutunisha mfuko wake ili aweze kukopa,ila mwanachama anaweza kuchukua anapozihitaji) Kuanzia mwezi mwaka , utakata Tshs . kila mwezi. Zingatia Kiwango cha chini cha makato ya Akiba ni Tshs. 50,000= kila mwezi.
Mimi nathibitisha kuwa yote niliyoandika hapo juu ni kweli kwa kadri ya uelewa wangu na nimeyakubali masharti yote ya UDOM Employees' SACCOS LTD , na nipo tayari kuwajibika kwa taarifa na maelezo haya.