Mkopo wa chapchap

Mkopo huu unatolewa kwa mwanachama pindi atakapo pata dharura ndogo, na unatolewa kila siku

  • Mkopo huu unatolewa mara tatu ya akiba atakayokuwa nayo mwanachama
  • Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 500,000/=
  • Riba ya mkopo ni 5% ya mkopo mzima
  • Muda wa juu wa marejesho ya mkopo wa chapchap ni miezi 5.
  • Mwanachama atapaswa kuja bank statement ya miwili ya hivi karibuni.