Mkopo wa dharura

Mkopo huu unatolewa kwa mwanachama pindi atakapo pata dharura kubwa, na unatolewa kila siku

  • Mkopo huu unatolewa mara tatu ya akiba atakayokuwa nayo mwanachama
  • Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 4,000,000/=
  • Riba ya mkopo ni 10% ya mkopo mzima.
  • Muda wa juu wa marejesho ya mkopo wa dharura ni miezi 18.
  • Mwanachama atapaswa kuja bank statement ya mitatu ya hivi karibuni.