Mkopo wa sikukuu
Mkopo huu unatolewa kwa mwanachama kipindi cha sikukuu za kidini kama Pasaka, Eid, Christmas na Maulud
- Mkopo huu unatolewa kwenye sikukuu za kidini tu ( Krismasi, Pasaka, Eid ma Maurid).
- Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 500,000/=
- Riba ya mkopo ni 5% ya mkopo mzima.
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo wa chapchap ni miezi 5.
- Mwanachama atapaswa kuja bank statement ya miwili ya hivi karibuni